The Characteristics and ingredients of love
1 Corinthians 13:13 “Three things will last forever—faith, hope, and love—and the greatest of these is Love – “AGAPE” (unconditional, unrestricted, unobstructed, unhindered, love that gives without...
View Article95 THESES TO THE MODERN EVANGELICAL CHURCH
By Greg Gordon – Founder of Sermonindex.net 1. The “church” at large has forgotten that the chief end of man is to glorify God. (Rom 16:27; 1Cor 6:20; Mt 6:9; 1Cor 10:31) 2. Christians ignore most of...
View ArticleKumcha Mungu kuna faida
Malaki 3: 13-18 13Maneno yenu yamekuwa magumu juu yangu, asema BWANA. Lakini ninyi mwasema, Tumesema maneno magumu juu yako kwa namna gani? 14Mmesema; Kumtumikia Mungu hakuna faida; na, Tumepata faida...
View ArticleTuyatamani sana mapenzi ya Mungu!
Mapenzi ya Mungu ni nini Kwako? Watu wengi wanatamani mapenzi ya Mungu yatimizwe kwao, lakini wanahangaika kwasababu hawajui mapenzi ya Mungu. Mungu anamakusudi makubwa kwenye maisha yako! Tumeumbwa...
View ArticleHow do you see yourself!
Everything we do is based on how we see ourselves; when it should be based on how we do not see ourselves, because if you are in Christ it is no longer you who are there living, and if it is no longer...
View ArticleHekima Hujenga
Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa watoto wake wote (Luka 7:35). Hekima ni udhihirisho au ufunuo wa usahihi wa Mungu katika maisha ya mtu; ni msukumo unaokusababisha kutenda, kuitikia au kuongea...
View ArticleUlimi Mzuri
Ulimi safi ni mti wa uzima; Bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo (Mithali 15:4). Mithali 4:20-22 inatuonyesha umuhimu wa kulipa Neno la Mungu umakini mkubwa katika maisha yetu; inasema: “Mwanangu,...
View ArticleIjumaa Kuu, Pasaka!
Baada ya alhamis kupita, Ijumaa Bwana Yesu alipigwa mijeredi, alichubuliwa, alidharauliwa na kuteswa sana. Wakamcoma mkuki ubavuni, akafa na Jumapili siku ya tatu. Akafufuka. Yu hai hata leo, tunaishi...
View ArticleKarama Za Mungu Zisizo Za Majuto
Kwa sababu karama za Mungu hazina majuto, wala mwito wake. (daima hazirudishi pale azitoapo, na habadili mawazo yake juu ya wale awapao Neema yake au juu ya wale awapao mwito wake) (Warumi 11:29 AMP)....
View ArticleTuwajenge watoto kumjua Mungu!
Wazazi peke yao wanahusika na malezi ya watoto wao? watoto wanasikitisha, wamekuwa watukutu, hawawatii wazazi wao. Kizazi hiki tunahitaji watoto wenye hofu ya Mungu, tuanze kuwafundisha watoto wetu...
View ArticleJe! Mafanikio yako kifedha yana matatizo?
Mwaka 1997 tulipokea barua na simu nyingi toka kwa watu wa Mungu mbalimbali wakihitaji maombi kwa ajili ya matatizo yaliyokuwa yanawasumbua katika maeneo ya kifedha. Wengine biashara na kazi zao...
View ArticleUkuu wa Mungu
Uzito wa dunia ni tani 6.58 sextillion(6,580,000,000,000,000,000,000tons). Speed ya dunia kujizungusha kwenye mhimili wake ni 1,669.8Km/hr. Speed ya dunia kulizunguka jua ni 107,300Km/hr(29.78Km/Sec)....
View ArticleUumbaji Umerejea “Hapo Mwanzo…”
Kwa Nini Kuwa Na Uumbaji Mpya? Mw 1&2 Kwa majira na viwango vya Uungu tulivyofikia sasa hivi vya kuamuru vitu kwa kinywa chetu tu na vikatokea kwa uhalisia, nakiri kwa uhakika Mungu Amerejea....
View ArticleSafari ya Mbinguni!!
Wapendwa wana SG napenda kushirikiana nanyi jambo hili muhimu sana kwa habari ya SAFARI YA MBINGUNI. JAMBO LA KWANZA Ni kweli kabisa Biblia imeandika kuwa “waitwao ni wengi bali wateule ni...
View ArticleNGAO YA IMANI
“16 zaidi ya yote mkiitwaa NGAO YA IMANI, amabayo kwa hiyo Mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu” (efe. 6:16) Bwana Yesu asifiwe! Ujumbe huu umekufikia kwa kusudi kabisa na ninaamini...
View ArticleNdani Ya Kristo Baraka Zote ni Zako!!
Wapendwa, napenda kushirikiana nanyi andiko hili ili tuweze kutiana moyo tunapouanza mwaka huu mpya. “Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika...
View ArticleEnenda kwa Roho, Ushinde Majaribu
Mtu ajaribiwapo, asiseme, ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu. Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na...
View ArticleTusiifuatishe dunia, Tulikiri Neno!
Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu – Warumi 12: 2 na mfanywe wapya katika roho...
View ArticleMamlaka Yetu Katika Kristo!
Sisi tunaomwamini Bwana Yesu kama Bwana na Mwokozi wetu, Neno la Mungu linatuambia ya kwamba Yeye yuko ndani yetu na sisi tumo ndani yake, pia linatuambia tumeketishwa pamoja naye katika ulimwengu wa...
View Article