Quantcast
Channel: Strictly Gospel » NENO
Browsing all 33 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nguvu ya ulimi

Biblia Takatifu inasema kuwa “Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; nao waupendao watakula matunda yake.” Ni kwa nini wana wa Mungu wanatumia ndimi zao kujiumbia mabaya, kushindwa, umaskini,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nia Zetu zifanywe upya

Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu – Warumi 12: 2 Na mfanywe wapya katika roho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tusiipungukie Neema ya Mungu

14 Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao; 15 mkiangalia sana mtu asiipungukie neema ya Mungu; shina la uchungu lisije...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tusijisumbue, Tuliamini Neno

6 Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. 7 Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

God’s Incredible Plan for You

“Just by understanding God’s love for you, and how He has felt about you from the beginning, and what He has wanted for you, begins to increase your faith and strength. That is what it was designed to...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Najivunia kuwa raia wa mbinguni!!

  Ukiwa Mmarekani, Serikali Ya Marekani Itafanya Chochote Kukulinda Ama Kuhakikisha Usalama Wako… Ikitokea Adui Akamgusa Mmarekani Au Kumdhuru, Serikali Ya Marekani Huwa Hailichukulii Kwa Urahisi Jambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tuwe Makini na tunayoongea

Tuwe makini na kila tunachoongea kwa sababu: Mithali 6:2 Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako, Mithali 12:18 Kuna anenaye bila kufikiri, kama kuchoma kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hekima hujenga, upumbavu hubomoa huku ikiona ipo sawa.!!

MIT. 14:1 SUV Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Hamna wakati ambapo upumbavu unakuwa kileleni kama wakati mtu akiwa na hasira....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

The Inspirational Thought Of The Day:

“With God and the knowledge of His Word inside of you, nothing is impossible for you.” Filed under: NENO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mpende adui yako!

‘‘Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Mpende jirani yako na umchukie adui yako.’ Lakini mimi ninawaambia, Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi, ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTIMILIZA TORATI

    UTANGULIZI Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nawe mdau wa SG. Tunaishi katika kipindi ambacho kuna namna nyingi za injili, na usipokuwa makini unaweza kufikiri kuwa uko katika injili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mungu bado anachukukia vitu vifuatavyo!!

“Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake. Macho ya kiburi, ulimi wa uongo, Na mikono imwagayo damu isiyo na hatia; moyo uwazayo mawazo mabaya; miguu iliyo myepesi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lijue Neno kwa ajili yako Mwenyewe!

Jitahidi (Jifunze) ili kujionesha kuwa umekubaliwa na Mungu,  mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa usahihi Neno la kweli (2 Timotheo 2:15), Kwa wewe kuishi maisha ya furaha, na kuwa...

View Article

Browsing all 33 articles
Browse latest View live